Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri
Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumapili Machi 10, 2019. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na
Kushoto kwake ni Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa.
PICHA NA IKULU
Sunday, March 10, 2019
RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment