HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, 25 February 2019

MASHINDANO YA ULENGAJI SHABAHA YAFANA JIJINI DAR

 Washiriki wa mashindano ya Ulengaji Shabaha wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza Mashindano ya  Majeshi Tanzania kwa walenga Shabaha  BAMMATA yanayoendelea katika Viwanja vya Kunduchi Jijini Dar es Salaam. ( Picha na Luteni Selemani Semunyu).
 Washiriki wa mashindano ya Ulengaji Shabaha wakiwa katika Harakati za Mashindano ya  Majeshi Tanzania BAMMATA yanayoendelea katika Viwanja vya Kunduchi Jijini Dar es Salaam. ( Picha na Luteni Selemani Semunyu).
Waamuzi wa Mchezo wa Ulengaji Shabaha wakihesabu Alama baada ya Wapigaji kupiga katika  Uwanja wa Kunduchi Jijini Dar  es Salaam wakati wa Mashindano ( Picha na Luteni Selemani Semunyu)


No comments:

Post a comment

Post Bottom Ad