HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, 25 February 2019

RAIS DKT. SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE KISIWANI PEMBA KWA KUFUNGUA BARABARA NA KITUO CHA AFYA

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi wa Kijiji cha Kiyuni na Ngomeni Wilaya ya Chakechake Pemba baada ya kuwafungulia barabara na kituo cha afya leo akiwa katika ziara yake kisiwanin Pemba.(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi wa Kijiji cha Kiyuni na Ngomeni  na kuonesha Ilani ya CCM ,jinsi inavyotekelezwa kwa wananchi, katika sekta mbalimbali za Kijamii (Picha na Ikulu)
BAADHI ya Wananchi wa vijiji vya Kiyuni na Ngomeni wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar Dk.Shein.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a comment

Post Bottom Ad