HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, 25 February 2019

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA MAZINGIRA MKOANI TABORA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kongamano Maalum la Mazingira Mkoa wa Tabora lililofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Mtemi Isike Mwanakiyungi, Tabora. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Sehemu ya wahudhuriaji katika Kongamano la Mazingira lililofanyika mkoani Tabora leo ambapo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye yupo kwenye ziara ya kuhamasisha shughuli za maendeleo mkoani Tabora. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua mnara wa Uzinduzi wa Upandaji Miti mkoani Tabora kwa heshima ya Mhe. Samia Suluhu Hassan. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

 Picha ya Mnara wa Uzinduzi wa Upandaji Miti Mkoani Tabora ulionzinduliwa rasmi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


No comments:

Post a comment

Post Bottom Ad