HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Thursday, 10 January 2019

WAZIRI JAFO AWAPOKEA KATIBU MKUU,NAIBU KATIBU MKUU MARA BAADA YA KUAPISHWA

 Waziri wa TAMISEMI, Seleman Jafo akizungumza wakati alipo  wa kuwakaribisha Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu walioapishwa leo Ikulu.
 Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI Dkt.Dorothy Gwajima akizungumza wakati alipokaribishwa ofisi ndogo za wizara mara baada ya kuapishwa leo Ikulu
 Picha ya pamoja(Picha na Emmanuel Massaka wa MMG)
 Waziri wa TAMISEMI, Seleman Jafo akizungumza  amempokea Katibu na Naibu Katibu wapya katika wizara hiyo baada ya kuteuliwa na kuapishwa na Rais John Magufili leo, ambapo amewahasa kufanya kazi kwa weledi kwani wizara hiyo ni kubwa na ina mambo mengi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad