Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salim (wa pili
kushoto) akiongoza maandamano ya kumbukizi ya kifo cha Imam Hussein Ally
wa dhehebu la kiislamu la Shia, jiini Dar es Salaam juzi jioni. Kushoto
kwake ni balozi wa Iran nchini, Mosa Farhang na anayefuatia ni Katibu
wa kamati ya Amani Mkoa wa Dar es Salaam, Padri John Solomon.
Waumini
wa dini ya kiislamu wa dhehebu la Shia wakiwa katika maandamano ya
kumbukizi ya kifo cha Imam Hussein Ally, jiini Dar es Salaam jana
No comments:
Post a Comment