HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, 21 September 2018

MATUKIO MBALIMBALI YA ZIARA YA WAZIRI MKUU MKOANI DODOMA


 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi wa Kata ya Pahi Wilayani Kondoa, akiwa kwenye ziara ya kikazi Mkoani Dodoma, Septemba 20, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Ofisi ya Halmashauri ya Mji Kondoa, akiwa kwenye ziara ya kikazi Mkoani Dodoma, Septemba 20, 2018.
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikagua ujenzi wa Ofisi ya Halmashauri ya Mji Kondoa, kwenye ziara ya kikazi Mkoani Dodoma, Septemba 20, 2018.

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza mwanafunzi wa kidato cha sita Veronica Sharma wa Shule wa wasichana ya Kondoa Mkoani Dodoma, alipotembelea shule hiyo Septemba 20, 2018.
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipanda mti kwenye Shule wa wasichana ya Kondoa Mkoani Dodoma, alipotembelea shule hiyo Septemba 20, 2018.
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wanafunzi wa Shule ya wasichana ya Kondoa Mkoani Dodoma, alipotembelea shule hiyo Septemba 20, 2018.
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia mti aliyoupanda mwaka 2012 kwenye Shule ya wasichana ya Kondoa Mkoani Dodoma, Septemba 20, 2018.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya wasichana ya Kondoa Mkoani Dodoma, alipotembelea shule hiyo Septemba 20, 2018.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akihutubia wananchi wa Kondoa Mji, kwenye Mkutano wa hadhara, akiwa kwenye ziara ya kikazi Mkoani Dodoma, Septemba 20, 2018.


Wananchi wa Kondoa Mji, wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, wakati akihutubia kwenye Mkutano wa hadhara Wilayani Kondoa, Septemba 20, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad