HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, 2 August 2018

WAZIRI MWIJAGE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MWANAHABARI SHADRACK SAGUTI, JIJINI DAR

 Waziri wa Viwanda ,Biashara na wawekezaji Charles Mwijage akitoa heshima ya mwisho mbele ya jeneza lililobeba mwili wa Mwandishi wa Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekekezaji,Shadrack Sagati katika uagaji uliofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja.(picha na Emmanuel Massaka Globu ya jamii)
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akitoa heshima ya mwisho mbele ya jeneza lililobeba mwili wa Mwandishi wa Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekekezaji,Shadrack Sagati katika uagaji uliofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja.(picha na Emmanuel Massaka Globu ya jamii)
Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar Salum Mwalimu akitoa heshima ya mwisho mbele ya jeneza lililobeba mwili wa Mwandishi wa Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekekezaji,Shadrack Sagati katika uagaji uliofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja.
Katibu Tawala wa Wilaya ya Ilala , Edward Mpogoloakitoa heshima ya mwisho mbele ya jeneza lililobeba mwili wa Mwandishi wa Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekekezaji,Shadrack Sagati katika uagaji uliofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja.No comments:

Post a comment

Post Bottom Ad