Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja
 wa Parking katika mji mdogo wa Nzega Agosti 17, 2018. (Picha na Ofisi 
ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wakati alipowasili 
kwenye uwanja wa Parking katika mji mdogo wa Nzega kuhutubia mkutano wa 
hadhara, Agosti 17, 2018. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  Mbunge wa Viti Maalum, Munde Tambwe wakati alipowasili kwenye uwanja wa Parking katika mji mdogo wa Nzega kuhutubia mkutano wa hadhara, Agosti 17, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)




No comments:
Post a Comment