Naibu Waziri wa Kilimo, Omary Mgumba (kulia) akimuuliza Mkurugenzi wa masoko na huduma kwa wateja Elisante Maleko (kushoto) namna wakulima wanavyowenza kunufaika na bima ya kilimo katika maonyesho ya nanenane mkoani Simiyu.
Kushoto Mkurugenzi wa masoko na huduma kwa wateja wa Shirika la bima la taifa (NIC), Elisante Maleko akitoa maelezo ya bima ya kilimo kwa Naibu Waziri wa kilimo Mh. Omary Mgumba ambapo akitoa wito kwa wakulima wote nchini kujiunga na bima ya Taifa katika maonyesho ya wakulima nanenane mkoani Simiyu.
No comments:
Post a Comment