Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli
akiwasalimia abiria ndani ya ndege Boeing 787-8 Dream
Liner ya shirika la ndege la Tanzania (ATCL)alipokuwa
akielekea Jijini Mwanza ikiwa ni mara ya kwanza kwa Rais
kusafiri kwa kutumia ndege hiyo mpya akiwa na abiria
wengine.Agosti 18,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akiwa
amemshika mtoto Ikrama Mahadi(Miezi-3) alipokuwa
akiwasalimia abiria ndani ya ndege Boeing 787-8 Dream
Liner ya shirika la ndege la Tanzania (ATCL)alipokuwa
akielekea Jijini Mwanza ikiwa ni mara ya kwanza kwa Rais
kusafiri kwa kutumia ndege hiyo mpya akiwa na abiria
wengine.Agosti 18,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akiwa
ndani ya ndege Boeing 787-8 Dream Liner ya shirika la
ndege la Tanzania (ATCL)alipokuwa akielekea Jijini Mwanza
ikiwa ni mara ya kwanza kwa Rais kusafiri kwa kutumia
ndege hiyo mpya akiwa na abiria wengine.Agosti 18,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli
akiwasalimia abiria ndani ya ndege Boeing 787-8 Dream
Liner ya shirika la ndege la Tanzania (ATCL)alipokuwa
akielekea Jijini Mwanza ikiwa ni mara ya kwanza kwa Rais
kusafiri kwa kutumia ndege hiyo mpya akiwa na abiria
wengine.Agosti 18,2018. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment