Mkurugenzi
wa Sera, Mipango na Utetezi kutoka ACT Bw Timothy Mmbaga akichangia
mada kwenye Mkutano wa wadau wa Kilimo uliokuwa ukijadili usalama wa
Chakula na Masoko kwa wakulima ulioandaliwa na Baraza la Kilimo chini ya
Mradi wake wa Ubia wa Kilimo Tanzania (TAP) uliofanyika jana mjini
dodoma.
Katibu Tawala Msaidizi Sekta za Uchumi na Uzalishaji Mkoa wa Dodoma Bi Aziza Mumba akichangia Mada kuhusu Nafasi ya NFRA na CPB katika kuimarisha Usalama wa Chakula, Bei za vyakula na Masoko kwa wakulima ulioandaliwa na Baraza la Kilimo Tanzania (ACT) chini ya Mradi wake wa Ubia wa Kilimo Tanzania (TAP) uliofanyika jana Mjini Dodoma
Katibu Tawala Msaidizi Sekta za Uchumi na Uzalishaji Mkoa wa Dodoma Bi Aziza Mumba akichangia Mada kuhusu Nafasi ya NFRA na CPB katika kuimarisha Usalama wa Chakula, Bei za vyakula na Masoko kwa wakulima ulioandaliwa na Baraza la Kilimo Tanzania (ACT) chini ya Mradi wake wa Ubia wa Kilimo Tanzania (TAP) uliofanyika jana Mjini Dodoma
Mratibu
wa taifa wa ubia wa kilimo Tanzania TAP, Bw. Mark Magila akichangia
mada wakati wa mkutano wa wadau wa kilimo uliokuwa ukizungumzia usalama
wa chakula na masoko kwa wakulima ulioandaliwa na baraza la kilimo
Tanzania chini ya mradi wake wa TAP na kuhudhuliwa na wadau mbalimbali
wa kilimo uliofanyika mjini Dodoma jana.
Sehemu
ya washiriki wa warsha ya wadau wa kilimo nchini wakifuatilia kwa
ukaribu mjadala wa nafasi ya NFRA na CPB katika kuimarisha usalama wa
chakula bei za vyakula na masoko ya wakulima, ulioandaliwa na Baraza la
Kilimo Tanzania ACT, Chini ya Mradi wake wa Ubia wa Kilimo Tanzania TAP,
uliofanyika jana mjini Dodoma.
Afisa
Sera kutoka Baraza la Kilimo Tanzania (ACT), Bi Laetitia Wiliam
akisikiliza kwa makini uwasilishwaji wa Mada ya iliyokuwa ikihusu Nafasi
ya NFRA na CPB katika kuimarisha Usalama wa Chakula, Bei za vyakula na
Masoko kwa wakulima, katika walisha iliyoandaliwa na ACT chini ya Mmradi
wake wa Ubia wa Kilimo Tanzania (TAP) uliofanyika jana Mjini Dodoma.
Mkurugenzi
wa Sera, Mipango na Utetezi kutoka ACT Bw Timothy Mmbaga akiwa katika
Picha ya pamoja na baada ya kumalizika kwa Mkutano wa wadau wa Kilimo
uliokuwa ukijadili usalama wa Chakula na Masoko kwa wakulima
ulioandaliwa na Baraza la Kilimo chini ya Mradi wake wa Ubia wa Kilimo
Tanzania (TAP) uliofanyika jana mjini dodoma.
No comments:
Post a Comment