Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti , Mhe. Goerge Simbachawene akiongoza
Kikao cha Kamati hiyo kilichokutana leo katika Ofisi za Bunge Jijini
Dodoma, pembeni ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Mashimba
Ndaki . Kamati hiyo ilikuwa ikipitia na kuchambua Muswada wa Sheria ya
Ubia baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi wa mwaka 2018.
Kamati ya Bunge ya Bajeti ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. George
Simbachawene ikiwa katika kikao cha Kamati leo katika Ofisi za Bunge
Jijini Dodoma.Kamati hiyo ilikuwa ikipitia na kuchambua Muswada wa
Sheria ya Ubia baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi wa mwaka 2018.
No comments:
Post a Comment