HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, July 12, 2018

YANGA NA SIMBA UGHAIBUNI YATOA TUZO KUMUENZI ALPHONCE MODEST

Mchezaji Shaban Mwampambe (mwenye kipaza sauti akiongelea historia ya mchezajiAlphonce Modest ambaye kwa sasa ni mgonjwa siku ya Jumamosi July 7, 2018 siku ilipofanyika Old School Reunion DMV iliyoenda sambamba na utoaji tuzo kwa mchezaji huyo katika kumuenzi na kuthamini mchango wake kwenye soka la Tanzania enzi zake alipochezea timu za Simba, Yanga, Mlandege na timu ya Taifa.Picha na VijimamboBlog
Bongo Movie Monalisa akikabidhi tuzo ya Alphonce Modest kwa refa wa FIFA Kazi Kipenga aliyeipokea kwa niaba yake.

Refa wa FIFAKazi Kipenga akielezea jinsi alivyosaidia kumfikisha Alphonce Modest hospitali.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad