HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Tuesday, 3 July 2018

NHC YALETA NYUMBA ZA BEI NAFUU KWENYE MAONESHO YA SABASABA

 Afisa Mauzo Mwandamizi wa shirika la Nyumba la Taifa NHC Joseph Haule akitoa maelezo juu ya kazi na miradi inayofanywa na shirika la nyumba katika Maonesho ya 42 ya biashara yanayoendelea  Jijini  Dar es Salaam.
 Mwakilishi wa Masoko, Jasson Ipyana akitoa maelezo kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam juu bei ya nyumba katika jiji la Dodoma na Dar es Salaam
 Ofisa kutoka shirika la nyumba la Taifa akionyesha moja ya nyumba za Ghrama nafuu zinazojengw ana shirika hilo katika Jiji la Dodoma.
 Sehemu ya watu waliofika kwa wingi katika banda la Shirika la nyumba kwenye Maonesho ya 42 biashara yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere Maharufu kama Sabasaba.
Sehemu ya Banda la Shirika la Nyumba la Taifa NHC Linavyonekana kwa nje kwenye Maoneshoi ya Biashara ya 42 Sabasaba yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad