HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, June 30, 2018

WAZIRI MKUU AZINDUA KITUO CHA POLISI KINACHOHAMKISHIKA , ENEO LA KISASA JIJINI DODOMA


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza wakati alipozindua Kituo cha Polisi kinachohamishika katika eneo la Kısasa jijini Dodoma, Juni 29, 2018. 
Naibu  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamadi Masauni akizungumza kumkaribisha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  katika tukio la kuzindua Kituo cha Polisi kinachohmishika, eneo la Kisasa jijini Dodoma Juni 29, 2018.
Baadhi ya wananchi wa Dodoma wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  wakati alipozungumza kabla ya kuzindua Kituo cha Polisi kinachohamishika, eneo la Kisasa jijini Dodoma Juni 29, 2018. 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma, Giles Mroto kuhusu pikipiki zilizokamatwa na Jeshi la Polisi mkoani humo  kwa madai kuwa ziliibwa.  Mheshimiwa Majaliwa alikuwa akizindua Kituo cha Polisi kinachohamishika katika eneo la Kısasa jijini Dodoma Juni 29, 2018. 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua Kituo cha Polisi kinachohamishika  katika eneo la Kısasa jijini Dodoma, Juni 29, 2018.   Kushoto ni Naibu Waziri wa Mambo  ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamadi Masauni na wapili kulia ni Mbunge wa Dodoma Mjini, Anthony Mavunde. 
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimshukuru Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Equity, Joseph Iha baada ya kuzindua Kituo cha Polisi kinachohamishika kilichojengwa kwa ufadhili wa benki hiyo eneo la Kisasa jijini Dodoma Juni 29, 2018. 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamadi Masauni (wapili kushoto) na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu ambaye pia ni Mbunge wa Dodoma Mjini, Anthony Mavunde (kushoto) baada ya kuzindua Kituo cha Polisi kinachohamishika kwenye eneo la Kısasa jijini Dodoma Juni 29, 2018. Wengine pichani kutoka kulia ni Meya wa Dodoma, Profesa Davis Mwamfupe, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma, Giles Mroto na Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, Deogratius Ndejembi. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad