HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, June 11, 2018

UMUHIMU WA ONGEZEKO LA LIKIZO YA UZAZI KWA WAZAZI WENYE WATOTO NJITI WAJADILIWA JIJINI DAR

Sehemu ya Wadau wa maswala ya afya kwa watoto, wakiwa katika warsha ya siku moja iliyoandaliwa na Taasisi ya Doris Mollel, wakati wakijadili umuhimu wa ongezeko la likizo ya uzazi kwa wazazi wenye watoto waliozaliwa kabla ya wakati (Njiti), uliyoandaliwa na Taasisi ya Doris Mollel (Doris Mollel Foundation) uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Hyatt Regency, jijini Dae r es salaam mwishoni mwa wiki.
Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP, Alvaro Rodriguez akizungumza jambo wakati na mjadala uliohusu umuhimu wa ongezeko la likizo ya uzazi kwa wazazi wenye watoto waliozaliwa kabla ya wakati (Njiti), uliyoandaliwa na Taasisi ya Doris Mollel (Doris Mollel Foundation) uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Hyatt Regency, jijini Dae r es salaam mwishoni mwa wiki. wengine pichani kutoka kulia ni Daktari bingwa wa watoto wachanga kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dkt. Augustine Massawe, Mkurugenzi wa Afya ya Mama na Mtoto kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Ahmad Makuwani pamoja na Mdau wa maswala ya Watoto Njiti, Innocent Mungy. Warsha hiyo imefanikishwa kwa hisani ya Ubalozi wa Kuwait nchini pamoja na Kampuni ya ASAS.
Daktari bingwa wa watoto wachanga kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dkt. Augustine Massawe akichangia mada ya umuhimu wa ongezeko la likizo ya uzazi kwa wazazi wenye watoto waliozaliwa kabla ya wakati (Njiti), iliyoandaliwa na Taasisi ya Doris Mollel (Doris Mollel Foundation) katika warsha ya siku moja iliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Hyatt Regency, jijini Dae r es salaam mwishoni mwa wiki.
Muongozaji wa Warsha hiyo, Chiku Lweno akitoa muongozo kwa wageni mbalimbali waliofika kwenye mjadala huo, ulioandaliwa na Taasisi ya Doris Mollel (Doris Mollel Foundation).
Wadau wakifatilia mjadala kwa umakini.
maswali mengi yaliulizwa pamoja na maoni kutolewa.
Picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad