HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Wednesday, 11 April 2018

YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA APRIL 11, 2018

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora mhe. Kapteni Mstaafu George Mkuchika akiwasilisha hotuba ya makadirio ya matumizi ya  Ofisi hiyo na Taasisi zake kwa mwaka wa fedha 2018/19  leo mjini Dodoma.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI mhe. Selemani Jafo akiwasilisha hotuba ya makadirio ya matumizi ya  Ofisi hiyo na Taasisi zake kwa mwaka wa fedha 2018/19  leo mjini Dodoma.
 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akiteta jambo na Naibu Waziri wake mhe Juliana Shonza wakati wa kipindi cha maswali na majibu leo Bungeni mjini Dodoma.
 Waziri wa Nishati Dkt. Merdard Kalemani akiteta jambo na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi mhe. William Lukuvi Bungeni mjini Dodoma leo.
Mbunge wa Msalala mhe. Ezekiel Maige akisisitiza jambo Bungeni wakati wa Kipindi cha maswali na majibu Bungeni mjini Dodoma mapema leo.
 Wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dodoma  (UDOM) wakifuatilia Bunge wakati wa kipindi cha maswali na majibu leo bungeni mjini Dodoma wakati wa ziara ya mafunzo  Bungeni.
 Sehemu ya Viongozi wa Serikali akiwemo Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI na watendaji wengine wa Serikali wakifuatilia Bunge leo mjini Dodoma.
(Picha zote na Frank  Mvungi- MAELEZO, Dodoma)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad