HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, April 16, 2018

WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AKIWA BUNGENI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akibadilishana mawazo na Mbunge wa Viti Maalumu Upendo Peneza. katika Viwanja vya Bunge Dodoma leo April 16/2018. .(PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Mkwawa Iringa .katika Viwanja vya Bunge Dodoma leo April 16/2018 kushoto kwa Waziri Mkuu ni Mbunge wa Viti Maalumu Rita Kabati .(PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimia na Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya Khadija Shabani. katikati mwenye Miwani wakiwa pamoja na Mjasilia mali , Warda Obathan. katika Viwanja vya Bunge Dodoma leo April 16/2018. .(PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akibadilishana mawazo na Mbunge wa Kuteuliwa Mama Salma Kikwete. katika Viwanja vya Bunge Dodoma leo April 16/2018. .(PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad