HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, April 8, 2018

RAIS DKT MAGUFULI AHUDHURIA IBADA YA KUMSIMIKA MUADHAMA ISAACK AMANI KUWA ASKOFU MKUU JIMBO KUU LA KATOLIKI ARUSHA

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungia maelfu ya wananchi na waumini alipowasili kushiriki Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaack Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakimpongeza Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakisalimiana na Maaskofu katika Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakisalimiana na mapadri na  katika Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu mpya wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Muadhama Isaack Amani (katikati yao) na maaskofu wengine wa kanisa hilo baada ya sherehe za kumsimika Askofu Mkuu huyo  katika Kanisa la Mtakatifu Teresa wa Mtoto wa Yesu jijini Arusha leo Aprili 8, 2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu mpya wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Muadhama Isaack Amani (katikati yao) na maaskofu wengine wa kanisa hilo pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Mizengo Pinda, Spika Mstaafu Mhe. Anne Makinda, Mama Tunu Pinda na Mkuu wa Mkoa wa ARusha Mhe. Mrisho Gambo  baada ya sherehe za kumsimika Askofu Mkuu huyo katika Kanisa la Mtakatifu Teresa wa Mtoto wa Yesu jijini Arusha leo Aprili 8, 2018 .
 Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu mpya wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Muadhama Isaack Amani (katikati yao) na maaskofu wengine wa kanisa hilo pamoja na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama   baada ya sherehe za kumsimika Askofu Mkuu huyo katika Kanisa la Mtakatifu Teresa wa Mtoto wa Yesu jijini Arusha leo Aprili 8, 2018. 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu mpya wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Muadhama Isaack Amani (katikati yao) na maaskofu wengine wa kanisa hilo pamoja na viongozi wa Mkoa wa Arusha baada ya sherehe za kumsimika Askofu Mkuu huyo katika Kanisa la Mtakatifu Teresa wa Mtoto wa Yesu jijini Arusha leo Aprili 8, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakaga baada ya kupata picha ya pamoja na Askofu Mkuu mpya wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Muadhama Isaack Amani na maaskofu wengine wa kanisa hilo baada ya sherehe za kumsimika Askofu Mkuu huyo katika Kanisa la Mtakatifu Teresa wa Mtoto wa Yesu jijini Arusha leo Aprili 8, 2018. 

Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad