HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, March 12, 2018

WAZIRI MWAKYEMBE AFUNGUA MKUTANO WA 14 WA MAAFISA HABARI, MAWASILIANO NA UHUSIANO SERIKALINI

  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini wakati wa ufunguzi mkutano wa 14 wa kikao kazi cha Maafisa hao kilichoanza leo Jumatatu tarehe 12-16 Machi, 2018 Jijini Arusha.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Susan Mlawi akizungumza na Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini wakati wa ufunguzi mkutano wa 14 wa kikao kazi cha Maafisa hao kilichaonza leo Jumatatu tarehe 12-16 Machi,2018 Jijini Arusha.
 Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa (UN) nchini, Alvaro Rodriguez akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kikao Kazi cha Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini kilichaonza leo Jumatatu tarehe 12-16 Machi,2018 Jijini Arusha.
 Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Gabriel Daqqaro akuzungmza na Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini wakati wa ufunguzi mkutano wa 14 wa kikao kazi cha Maafisa hao kilichaonza leo Jumatatu tarehe 12-16 Machi,2018 Jijini Arusha.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akifurahia jambo na Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa (UN) nchini , Alvaro Rodriguez wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 14 wa Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini kilichaonza leo Jumatatu tarehe 12-16 Machi,2018 Jijini Arusha..
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akiteta jambo na Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Elishilia Kaaya mara wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 14 wa Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini  kilichaonza leo Jumatatu tarehe 12-16 Machi,2018 Jijini Arusha.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akimkabidhi cheti cha shukrani ya udhamini wa mkutano wa 14 wa Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini, Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Dkt. Jimmy Yonas wakati wa kutoa vyeti kwa wadhamini wa kikao kazi hicho kilichaonza leo Jumatatu tarehe 12-16 Machi,2018 Jijini Arusha.
 Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) Dkt Jimmy Yonas akizungumza jambo na aliyekuwa kuwa Katibu wa Hayati Baba wa Taifa, Mzee Kasoli wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 14 wa Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini kilichaonza leo Jumatatu tarehe 12-16 Machi,2018 Jijini Arusha.
 Baadhi ya Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini wakipata maelekezo kuhusu taratibu mbalimbali za usajili katika mkutano wa 14 wa kikao kazi chao kilichoanza leo Jumatatu Machi 12-16 Jijini Arusha.
 Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Rodney Thadues akimwongoza Mhariri Mtendaji wa Makampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Dkt. Jimmy Yonas kuelekea katika ukumbi wa mikutano kwa ajili ya ufunguzi wa mkutano huo leo Jumatatu Machi 12, 2018 katika ukumbi wa kituo cha Mikutano cha Kimataifa wa Arusha.
 Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Rodney Thadues akimwongoza Mwakilishi  Mkazi wa Umoja wa Mataifa (UN) Alvaro Rodriguez kuelekea katika ukumbi wa mikutano kwa ajili ya ufunguzi wa mkutano huo leo Jumatatu Machi 12, 2018 katika ukumbi wa kituo cha Mikutano cha Kimataifa wa Arusha
(PICHA NA MAELEZO)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad