HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 12 March 2018

DK MABOKO AFUNGUA KIKAO CHA USAMBAZAJI WA RIPOTI YA TATHMINI YA MAZINGIRA YA KISHERIA

 Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao kwa ajili ya usambazaji wa ripoti ya tathmini ya mazingira ya kisheria katika mwitikio wa ukimwi kilichoanza leo Mkoani Dodoma.
Baadhi ya washiriki wa kikao kwa ajili ya usambazaji wa ripoti ya tathmini ya mazingira ya kisheria katika mwitikio wa ukimwi wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) Dk.Leonard Maboko(hayupo pichani) wakati akizungumzia hali ya maambukizi ya UKIMWI nchini.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad