HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Sunday, 11 March 2018

TANO LADIES YASHEREHEKEA SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE BURTONSVILLE, MARYLAND


Meza kuu toka kushoto ni Janet Kisyombe, Harriet Shangarai, Dr. Sylvia Dasi ambaye ndio mwanzilishi wa Color of Roses Foundation na mwaka 2015 alishiriki na kujitolea kwenda Tanzania kutoa huduma za afya chini ya shirika lisilo la Kiserikali la African Women Cancer Awareness Associatiation na kulia ni aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika mashariki, Mhe. Liberata Mulamula ambaye kwa sasa ni Acting Director Institute for African Studies Chuo Kikuu cha George Washington kilichopo Washington, DC, nchini Marekani. Picha na Vijimambo Blog na Kwanza Production chini ya udhamini wa Kilimanjaro Studio.

Hawa ndio Tano Ladies walioratibu siku ya kimataifa ya wanawake iliyoadhimishwa rasmi March 8, 2018 Duniani kote na Tano Ladies wao kuisherehekea siku hiyo Jumamosi March 10, 2018 Brtonsville, Maryland na kuhudhuriwa na wanaDMV. Kutoka kushaoto ni Tuma Kaisi Katule, Iska J Kauga, Asha Nyang'anyi, Justa Mtalemwa na Asha Hariz walipokua wakijitambulisha., 

Tano Ladies wakiwa katika picha ya pamoja na wageni wao.

 Vikundi mbalimbali vya watoto wakitumbuiza kwenye sherehe ya kuadhimisha siku ya kimataifa ya wanawake Duniani.
 Mhe. Liberata Mulamula ambaye ni Acting Director Institute for African Studies Chuo Kikuu cha George Washington kilichopo Washington, DC, nchini Marekani akiwatunza watoto walivyokua makini katika kutoa show kali na kushangiliwa na umati wa watu waliohudhuria sikuya kimataifa ya wanawake Burtonsville, Maryland..

Wakati wa chakula.
Mjasiliamali akipata ukodak moment
Mjasiliamali katika picha.
Kushoto ni Dj Maryam White katika picha ya pamoja na mdogo wake.

Wahudhuriaji wakifuatilia kinachoendelea katika siki ya kimataifa ya wanawake iliyoratibiwa na Tano Ladies siku ya Jumamosi March 10, 2018 Burtonsville, Maryland nchini Marekani.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad