HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Friday, 16 March 2018

RAIS SHEIN AFUNGA KONGAMANO LA KITAIFA LA UTAWALA BORA NA UCHUMI

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)alipokuwa akifunga  Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Uchumi Zanzibar lililofanyika jana katika  Ukumbi wa zamani wa  Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Zanzibar (kulia) Waziri wa Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe,Haroun Ali Suleiman (kulia) na Waziri wa Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati, Mhe.Salama Aboud Twalib.
Waziri asiyekuwa na Wizara maalum,Said Soud Said akionesha Ilani ya Chama cha Mapinduzi CCM wakati alipokuwa akitoa mchango wake wakati wa  Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Uchumi Zanzibar lililofanyika jana katika  Ukumbi wa zamani wa  Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Zanzibar, (Picha na Ikulu)  

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad