HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 12 February 2018

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU PAMOJA NA MWENYEKITI WA BODI YA TTCL IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano la Tanzania TTCL-Corporation Omary Nundu mara baada ya kuwasili Ikulu kwa ajili ya mazungumzo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano la Tanzania TTCL-Corporation Waziri Kindamba aliyefika Ikulu pamoja na Mwenyekiti wa Bodi hiyo kwa ajili ya mazungumzo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano la Tanzania TTCL-Corporation Omary Nundu pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano la Tanzania TTCL-Corporation Waziri Kindamba Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanahabari kuhusiana na Shirika la Mawasiliano la Tanzania TTCL-Corporation. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano la Tanzania TTCL-Corporation Omary Nundu pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo Waziri Kindamba
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano la Tanzania TTCL-Corporation Omary Nundu akizungumza kuhusu Shirika hilo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano la Tanzania TTCL-Corporation Omary Nundu (kushoto) pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo Waziri Kindamba Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad