HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Thursday, 4 January 2018

Zao la korosho likiandaliwa kwa ajili ya kuingia katika ghala la Mkuranga

Watalaam wa zao la korosho  wakiangalia ubora wa korosho  na kuziweka katika madaraja ili kuweza kuingia  katika ghala la Mkuranga baada ya kuchambuliwa na kuandaliwa.
 Akina mama wa Wilaya ya Mkuranga wakichambua na kuandaa  Korosho ili ziweze kuwa na ubora kwa ajili ya kwenda kuzihifadhi katika ghala la Mkuranga. Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad