HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Wednesday, 31 January 2018

YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA

 Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akiongoza  kikao cha pili cha Mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Ajira,Vijana na Wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akisoma muswada wa Sheria ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa watumishi wa Umma wa Mwaka 2017 leo Bungeni mjini Dodoma.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Mhe.Kpt.George Mkuchika akijibu maswali mbalimbali ya wabunge wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma.
 Waziri wa Viwanda ,Biashara na Uwekezaji, Mhe.Charles Mwijage akijibu hoja mbalimbali za wabunge wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma.
 Naibu Waziri wa Nishati, Mhe.Subira Mgalu akijibu hoja mbalimbali za wabunge wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma.
 Naibu Waziri wa Madini Mhe.Dotto Biteko akijibu maswali mbalimbali ya wabunge wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge,Kazi,Ajira,Vijana na Wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akiteta jambo na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe.Zitto Kabwe wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma.
 Mbunge wa Mtama(CCM) Mhe.Nape Nnauye akizungumza jambo na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe.Zitto Kabwe wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma.
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Hamis Kigwangalla akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Nishati Mhe.Subira Mgalu wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma.
Picha na Daudi Manongi, MAELEZO, DODOMA.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad