HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Wednesday, 31 January 2018

RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA PASIPOTI MPYA YA TANZANIA YA KIELEKTRONIKIA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akionesha kwa furaha passipoti yake mpya  ya kielektronikia baada ya kuipokea kutoka kwa Waziri wa mambo ya Ndani Dkt. Mwigulu Nchemba makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam leo Januari 31, 2018. Kushoto ni Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein na kushoto kwa Waziri ni Kamishna Mkuu wa Uhamiaji Dkt. Peter Makakala.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt  John Pombe Magufuli   akionesha kwa furaha passipoti yake mpya  ya kielektronikia baada ya kuipokea kutoka kwa Waziri wa mambo ya Ndani Dkt. Mwigulu Nchemba makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam leo Januari 31, 2018. 
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt  John Pombe Magufuli  akiiangalia  kwa furaha passipoti yake mpya  ya kielektronikia baada ya kuipokea kutoka kwa Waziri wa mambo ya Ndani Dkt. Mwigulu Nchemba makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam leo Januari 31, 2018. 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt  John Pombe Magufuli  akipokea passipoti yake mpya  ya kielektronikia  kutoka kwa Waziri wa mambo ya Ndani Dkt. Mwigulu Nchemba makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam leo Januari 31, 2018. 
 Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein  akipokea pasipoti yake mpya ya kielektronikia kutoka kwa Waziri wa mambo ya Ndani Dkt. Mwigulu Nchemba makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam leo Januari 31, 2018.  
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  akionesha kwa furaha passipoti yake mpya  ya kielektronikia baada ya kuipokea kutoka kwa Waziri wa mambo ya Ndani Dkt. Mwigulu Nchemba makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam leo Januari 31, 2018. 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli  akiweka sahihi kwa ajili ya kujipatia pasipoti yake mpya  makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam leo Januari 31, 2018.  
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt  John Pombe Magufuli  akiwa na  Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein akisubiri hatua inayofuata  baada ya kuweka sahihi kwa ajili ya kujipatia pasipoti yake mpya ya kielektronikia makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam leo Januari 31, 2018.   
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli     akichukuliiwa alama za vidole  kwa ajili ya kujipatia pasipoti yake mpya ya kielektronikia  makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam leo Januari 31, 2018.  
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein na Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi Dkt Mwigulu Nchemba wakimsikiliza Kamishna Mkuu wa Uhamiaji Dkt. Peter Makakala  akielzea hatua mbalimbali za upatikanaji wa passipoti mpya  ya Tanzania ya  kielektronikia makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam leo Januari 31, 2018.
  Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli  akichukuliiwa alama za vidole  kwa ajili ya kujipatia pasipoti yake mpya ya kielektronikia  makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam leo Januari 31, 2018.  
Sehemu ya Maafisa waandamizi wa Uhamiaji wakipiga saluti wakati wa wimbo wa Taifa kwenye sherehe za uzinduzi wa  pasipoti  mpya ya Tanzania  kielektronikia  makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam leo Januari 31, 2018.  

PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad