HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, December 12, 2017

IGP SIRRO AONGEA NA WANANCHI ALIPOKUWA NJIANI AKITOKEA MKOANI TABORA KWENDA KIGOMA KATIKA ZIARA YAKE.

 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP, Simon Sirro akiwagawia mahindi wananchi baada ya kumaliza kusalimiana nao wakati akitokea mkoani Tabora kwenda mkoa wa Kigoma katika ziara ya kikazi.  Picha na Jeshi la Polisi.
 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP, Simon Sirro akisalimiana na wananchi wakati akitokea mkoani Tabora kuelekea mkoani kigoma katika ziara yake ya kikazi.  Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP, Simon Sirro akisalimiana na maafisa wa Jeshi la Polisi baada ya kuwasili mkoani Kigoma akitokea mkoani Tabora alipokuwa na ziara ya kikazi ya siku mbili.  Picha na Jeshi la Polisi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad