HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 27 November 2017

WAZIRI MKUU AKABIDHI KOMBE KWA TIMU YA AFISI KUU ZANZIBAR

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mwenye nguo nyeupe akiwa katika picha ya pamoja na timu ya Afisi Kuu Zanzibar. 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikabidhi kombe kwa nahodha wa timu ya Afisi Kuu Zanzibar.Bwana Vuai Jecha baada ya timu yake kuibuka mshindi kwakuifunga timu ya Kwahani mabao 3 kwa 1. katika mchezo wa fainali uliochezwa Uwanja wa Aman Zanzibar. Novemba 25/2017. 

PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad