HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 27 November 2017

WAZIRI MAHIGA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA ITALIA NCHINI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga (kulia) akizungumza na Balozi wa Italia nchini, Mhe. Roberto Mengoni alipomtembea katika ofisi za Wizara Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Novemba 2017.

Mazungumzo yao yalijikita katika kuimarisha uhusiano wa kihistoria na kidiplomasia uliopo baina ya Tanzania na Italia. Pia wamejadili mikakati ya kuboresha ushirikiano katika sekta ya elimu hususan elimu ya ufundi, miundombinu, utalii, biashara na uwekezaji. 
Mazungumzo ya Kiendelea. 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad