HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Tuesday, 7 November 2017

JKCI kwa kushirikiana na Hospitali ya Saifee ya nchini India wanatarajia kuwafanyia upasuaji wagonjwa 18 wenye matatizo ya Moyo

Madakatati Bingwa wa Upasuaji wa Moyo na Mishipa ya damu kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na Hospitali ya Saifee ya nchini India wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa kupandikiza mishipa ya damu kwenye moyo (CABG – Coronary Artery Bypass Grafting) wakati wa kambi maalum ya siku sita ya upasuaji wa moyo inayoendelea katika Taasisi hiyo.
Madaktari Bingwa wa Upasuaji wa Moyo na Mishipa ya damu kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na Hospitali ya Saifee ya nchini India wakiendelea na kazi ya kumfanyia mgonjwa upasuaji wa kupandikiza mishipa ya damu kwenye moyo (CABG – Coronary Artery Bypass Grafting) . Jumla ya wagonjwa 18 wanatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa moyo katika kambi maalum ya upasuaji wa moyo ya siku inayoendelea katika Taasisi hiyo.
Madakatati Bingwa wa Upasuaji wa Moyo na Mishipa ya damu kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na Hospitali ya Saifee ya nchini India wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa kupandikiza mishipa ya damu kwenye moyo (CABG – Coronary Artery Bypass Grafting) wakati wa kambi maalum ya upasuaji ya siku sita inayoendelea katika Taasisi hiyo. Hadi sasa jumla ya wagonjwa sita wameshafanyiwa upasuaji wa CABG na kubadilishiwa milango ya moyo (Valve) ambapo hali zao zinaendelea vizuri. Picha na JKCI. 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad