HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Sunday, 5 November 2017

GGM YAENDELEA KUFADHILI MATIBABU KWA WATOTO WENYE TATIZO LA MIDOMO SUNGURA

 
Mkuu wa Wilaya ya Geita, Mwl Herman Kapufi akiwapa maneno ya faraja wakati alipokuwa akiwaaga watoto pamoja na wazazi ambao wanatarajia kwenda mwanza kwaajili ya matibabu. 
 
Mtoto ambaye anatatizo la mdomo sungura akisubilia kwenda kufanyiwa matibabu Jijini Mwanza wakati wa hafla ya kuwaaga.
Mratibu wa kitengo cha afya Mgodini GGM Dkt.Kiva Mvungi akisisitiza jamii kutokuwa na dhana ya kuwatenga na kuwanyanyapaa watoto ambao wanakuwa na matatizo ya midomo sungura. 
Mkurugenzi mkuu wa Mgodi wa GGM Richard Jordinson,akielezea juu ya gharama ambazo wametumia hadi sasa tangu walipoanza mpango wa matibabu kwa watoto ambao wanamidomo sungura. 

Watoto wenye tatizo la midomo sungura wakiwa na mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi Mkuu wa mgodi wa GGM kwenye picha ya pamoja. 


(PICHA NA JOEL MADUKA)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad