HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Sunday, 5 November 2017

VODACOM TANZANIA PLC YAFANIKISHA NDOTO ZA WANAWAKE KUPITIA M-PESA

 Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania PLC, Hawa Hamis (kushoto) akimwelewesha jambo Mwanakomba Shabani, kuhusiana na huduma ya M-Pesa wakati wa mkutano wa akina mama uliojulikana kama "Atukuzamu  Women of Conference" uliofanyika jijini Dar es Salaam kwa Udhaminiwa na  Vodacom Tanzania PLC.
Meneja wa  kitengo cha M-PESA wa Vodacom Tanzania PLC, Noel Mazoya akiongea na wanawake wajarisiliamali kuhusiana na huduma  M-Pesa  inayotolewa na kampuni hiyo wakati wa Kongamona la wanawake la "Atukuzamu  Women of Conference"uliofanyika katika ukumbi wa City Christian Center( CCC) jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania PLC.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad