HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, October 26, 2017

VITUO VYA KUTABIRI MAAFA YA MAFURIKO NA UKAME VYA FUNGWA NCHINI

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akisisitiza umuhimu wa vituo vya hali ya hewa vilivyofungwa na Ofisi ya Waziri Mkuu chini ya usimamizi wa mamlaka ya hali ya hewa Tanzania ambapo kutokana na uwezo wa vituo hivyo taarifa zake zinatumika kutabiri uwepo maafa ya mafuriko na Ukame nchini, kushoto kwake ni Mkurugenzi Idara ya Uratibu maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brigedia Jenerali Mbazi Msuya, Meneja Kanda ya Kusini, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania,  Daudi Amas na Mratibu Mradi wa mifumo ya Tahadhari za mapema, Alfei Daniel, wakati alipokuwa anakagua vituo hivyo mkoani Ruvuma.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akipata maelezo kutoka kwa  Mhandisi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania,  David CChilambo, juu ya jinsi vituo vya hali ya hewa vilivyofungwa na Ofisi ya Waziri Mkuu chini ya usimamizi wa mamlaka ya hali ya hewa Tanzania ambapo kutokana na uwezo wa vituo hivyo taarifa zake zinatumika kutabiri uwepo maafa ya mafuriko na Ukame nchini, , wakati alipokuwa anakagua vituo hivyo mkoani Ruvuma, katikati ni Mkuu wa Wilaya Namtumbo, Luckness Amlima.
Moja ya Kituo cha hali ya hewa kati ya vituo 36  vilivyofungwa na Ofisi ya Waziri Mkuu nchi nzima kwa  usimamizi wa mamlaka ya hali ya hewa Tanzania ambapo kutokana na uwezo wa vituo hivyo taarifa zake zinatumika kutabiri uwepo maafa ya mafuriko na Ukame nchini, , kutokana na uwezo wa vituo hivyo vinavyopatikana  hapa nchini na Ethiopia kwa bara la Afrika, vimeongeza uwezo wa ufanisi wa utabiri wa Mamlaka ya Hali ya Hewa kutoka asilimia 82 hadi asilimia 87 kwa sasa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad