HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, October 26, 2017

KAMATI YA BUNGE YA BAJETI TAASISI YA SEKTA BINAFSI KUJADILI KUHUSU VYANZO VYA MAPATO YA SERIKALI

 Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Mheshimiwa Hawa Ghasia akiongoza kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Mjini Dodoma ambapo leo imekutana na Taasisi ya Sekta Binafsi kujadili kuhusu vyanzo vya mapato ya Serikali na mapendekezo ya hatua za kupunguza utegemezi wa kibajeti kwa mwaka 2018/19.
 Mjumbe wa Kamati ya Bajeti, Mheshimiwa Janeth Mbene akichangia jambo katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Mjini Dodoma, Kamati Bajeti 3 ambapo leo imekutana na Taasisi ya Sekta Binafsi kujadili kuhusu vyanzo vya mapato ya Serikali na mapendekezo ya hatua za kupunguza utegemezi wa kibajeti kwa mwaka 2018/19.

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo Mjini Dodoma ambapo walikuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Mheshimiwa Hawa Ghasia akiongoza kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Mjini Dodoma ambapo leo imekutana na Taasisi ya Sekta Binafsi kujadili kuhusu vyanzo vya mapato ya Serikali na mapendekezo ya hatua za kupunguza utegemezi wa kibajeti kwa mwaka 2018/19

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad