HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Tuesday, 24 October 2017

UN yasheherekea MIAKA 72 ya toka kuuanzishwa kwake.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania Ndugu Alvaro Rodriguez mara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Karimjee kwenye sherehe za kutimiza miaka 72 ya Umoja wa Mataifa. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua gwaride maalum katika sherehe ya Siku ya Umoja wa Mataifa ambapo Umoja huo umetimiza miaka 72 tangu kuanzishwa kwake na sherehe hizo zilifanyika kwenye viwanja vya Karimjee kwenye sherehe za kutimiza miaka 72 ya Umoja wa Mataifa. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye sherehe ya siku ya Umoja wa Mataifa iliyofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad