HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, October 24, 2017

PUMA ENERGY TANZANIA YATILIANA SAHIHI MKATABA WA HIARI PAMOJA NA CHAMA CHA WAFANYAKAZI TUICO

--
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuuu, Sera, Bunge, kazi, Vijana, ajira na Walemavu, Jenister Mhagama akizungumza wa wakati wa kushuhudia zoezi la utiaji saini Mkataba wa hiari kati ya Puma Energy Tanzania na Chama cha Wafanyakazi (TUICO).
 Meneja Mkuu wa Puma Tanzania, Philippe Corsaletti  akizungumza na Waandishi wa habari mara baada Puma Energy Tanzania yatiliana sahihi mkataba wa hiari pamoja na chama cha wafanyakazi TUICO
  Meneja Mkuu wa Puma Tanzania, Philippe Corsaletti  Akitiliana Saini na Kiongozi wa TUICO, Jonathan Peres huku Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuuu, Sera, Bunge, kazi, Vijana, ajira na Walemavu, Jenister Mhagama akishuhudia
 Afisa utawala wa kampuni ya Puma Energy akizungumza kabla ya kumkaribisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuuu, Sera, Bunge, kazi, Vijana, ajira na Walemavu, Jenister Mhagama
  Meneja Mkuu wa Puma Tanzania, Philippe Corsaletti  akibadilishana mkataba  na Kiongozi wa TUICO, Jonathan Peres  mara baada ya kutiliana Saini Mkataba wa hali bora kazini
 Mkuu wa Idara ya Mafuta ya Ndege kutoka kampuni ya Puma Energy, Raymond Tungaraza akifafanua jambo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuuu, Sera, Bunge, kazi, Vijana, ajira na Walemavu, Jenister Mhagama
 Kiongozi wa TUICO, Jonathan Peres akizungumza na wafanyakazi wa kampuni ya Puma Energy mara baada ya kutiliana sahihi mkataba wa hiari pamoja na chama cha wafanyakazi
 Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Waajiri Tanzania(ATE), Dk Aggrey  Mlimuka akizungumza mara baada ya kutiliana sahihi mkataba wa hiari pamoja na chama cha wafanyakazi na kampuni ya Puma Energy
 Sehemu ya Wafanyakazi wa kampuni ya Puma Energy wakifatilia mkutano huo wa mara baada ya kutiliana sahihi mkataba wa hiari pamoja na chama cha wafanyakazi na kampuni ya Puma Energy
 Sehemu ya Wafanyakazi wa kampuni ya Puma Energy wakifatilia mkutano huo wa mara baada ya kutiliana sahihi mkataba wa hiari pamoja na chama cha wafanyakazi na kampuni ya Puma Energy

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad