HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, September 16, 2017

WANANCHI WALALAMIKIA SHULE YA SEKONDARI YA MATULI KUTOPATIWA USAJILI NA KUANZA KUPOKEA WANAFUNZI

Diwani wa Kata ya Matuli Halmashauri ya Morogoro Vijijini, Tafarani Ngerengere akizungumza na wananchi katika shule ya Sekondari iliyopo kwenye Kata ya Matuli. Shule hiyo ya sekondari licha ya kuwa na madarasa wawili, ofisi ya walimu na matundu manne ya vyoo yaliyokamilika lakini bado haijapata usajili na kuanza kupokea wanafunzi, hali ambayo inayolalamikiwa na Diwani huyo na wananchi wa kata hiyo.
Mwananchi wa Kijiji cha Matuli kata ya Matuli wakizungumza katika mkutano wa hadhara wa kata uliotishwa kujadili kuhusu hatma ya sekondari yao ya kata ya Matuli.
Wananchi wa Kata ya Matuli wakimsikiliza Diwani wa Kata hiyo, Lukas Lemomo wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kijiji cha Matuli kata ya Matuli Halmashauri ya Morogoro Viijini.
Majengo ya Shule ya sekondari ya kata ya matuli yaliyo kamilika ambayo wananchi bado shule hiyo haIjapata kibali cha kufunguliwa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad