Mbunge
wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete akizungumza na familia ya Wanamichezo
wakati wautoaji wa Tunzo za Mchezaji borawa michuano ya Ndondo Cup
inayoandaliw ana kampuni ya CloudsMedia Group kupitia kipindi chake cha
Sports Extra.
Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete, akikabidhi tunzo ya Mchezaji bora kwa kocha wa timu ya Misosi FcYenye maskani yake Manzese.
Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dodoma (DOREFA),Mulamu Nghambi akikabidhi zwadi kwa Refalii borawa michuano ya Ndondo Cup.
Mkurugenzi wa Vipindi wa kituo cha Televisheni na Radio ya Clouds , Shafii Dauda akikabidhi Zawadi ya Mwandishi bora wa Michuano ya Ndondo Cup Charles Abel wa Mwananchi.
Dogo Janja akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhi zawadi kwa shabiki bora wa michuano ya Ndondo Cup.
Mpiga picha bora wa Michuano ya Ndondo Cup , Rachel Palangyo akiwa na Tunzo yake mara baadaya kukabidhiwa
Mwenyekiti wa Chama cha Soka cha DRFA , Almas Kasongo akikabidhi zawadi ya heshima kwa Dr JJ Mwaka.

Dj Sinyorita kutoka kipindi cha XXL cha Clouds Fm akifanya yake katika utoaji wa Tunzo za watu waliofanya vizuri katika Michuano ya Ndondo Cup
Mtangazaji wa kipindi cha Sports Extra , Mbwiga wa Mbwiguke akifanya yake ya kizaramo jukwaani
Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete akimtunza Msanii wa Singeli Msaga Sumu
Msanii wa Muziki wa SINGELI nchini Msaga Sumu akifanya yake Jukwaani
Wadau wa mpira walioshiriki hafla hiyo ya utoaji Tunzo katika michuano ya Ndondo Cup.

No comments:
Post a Comment