HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Wednesday, 23 August 2017

4 of 2,022 RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KAMISHNA MKUU WA MAMLAKA YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA ROGERS SIANGA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na  Kamishna Mkuu wa mamlaka ya kupambana na kuzuia dawa za kulevya Rogers Sianga alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 23, 2017.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na  Kamishna Mkuu wa mamlaka ya kupambana na kuzuia dawa za kulevya Rogers Sianga alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 23, 2017.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad