HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Friday, 7 July 2017

Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Zanzibar atembelea banda la Global Education Link

Mkurugenzi wa Udahili wa Global Education Link Ltd Zakia Nassor akimuelezea jambo Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Zanzibar Moudline Castico wakati alipotembelea banda Global Education Link katika maonesho ya biashara ya 41 ya kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya sabasaba Jijini Dar es salaam.
Mtaalamu wa Udahili wa Global Education Link Medadi Sota akimuelezea  Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Zanzibar Moudline namna ya kuwasaidia wanafunzi kudahili wanafunzi katika nchi mbalimbali wakati alipotembelea banda la Global Education Link katika maonesho ya biashara ya 41 ya kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya sabasaba Jijini Dar es salaam.

Wanafunzi wakiendelea kujitokeza kwa wingi kwa ajili ya kupata mwongozo wa wa namna ya kujiunga na vyuo vya nje ya nchi kupitia Global Education Link katika maonesho ya biashara ya 41 ya kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya sabasaba Jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad