HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Saturday, 8 July 2017

SHAMBA LA MBOGAMBOGA LAWAVUTIA WANANCHI WALIOJITOKEZA KATIKA MAONESHO YA SABASABA

 Wananchi wakiwa katika shamba lililopo ndani ya Viwanja vya Sabasaba wakiambiwa namna ya kulima aina mbalimbali za mbogamboga Kwenye maonesho ya 41 ya biashara ya kimataifa ya Sabasaba yanayoendelea Jijini Dar es salaam.

Mkurugenzi wa Maendeleo wa kampuni ya Agri Must Lead Peter Mkufya akimuonesha mpiga picha wa Globu ya Jamii mbogamboga aina ya bilinganya inayolimwa ndani va viwanja vya Sabasaba.


Wananchi wakiwa nadani ya shamba liliopo ndani ya Viwanja vya Sabasaba walipotembelea  Kwenye maonesho ya 41 ya biashara ya kimataifa ya Sabasaba yanayoendelea Jijini Dar es salaam. Picha na Emanuel Massaka.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad