HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Saturday, 8 July 2017

MATUKIO NA PICHA KATIKA MAONESHO YA 41 YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA SABASABA

Wananchi wakiwa wametoka kununua bidhaa mbalimbali  kwenye Maonesho ya 41 ya biashara ya Kimataifa katika Viwanja vya Sabasaba yanayoendelea Jijini Dar es salaa.
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango (katikati) akiwa kwenye Maonesho ya 41 ya biashara ya Kimataifa katika Viwanja vya Sabasaba yanayoendelea Jijini Dar es salaa.
Mwenyekiti wa Mfuko wa Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku akipata maelezo katika banda la Veta, katika Maonesho ya  41 ya Biashara ya Kimataifa katika viwanja vya Mwalim Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mpagazi akiwa amebeba godoro katika mkokoteni wake  kwenye Maonesho ya 41 ya biashara ya Kimataifa katika Viwanja vya Sabasaba yanayoendelea Jijini Dar es salaam.


 
 
 Wananchi wakiwa wamepumzika kwenye Maonesho ya 41 ya biashara ya Kimataifa katika Viwanja vya Sabasaba yanayoendelea Jijini Dar es salaam,

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad