HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 19 June 2017

VIGOGO WA ESCROW NA IPTL WAPANDISHWA KIZIMBANI KWA MAKOSA YA KUHUJUMU UCHUMI

 Mmiliki wa VIP Engineering and Marketing, James Rugemalila na Mmiliki wa Kampuni ya IPTL, Harbinder Seth Sigh wakiwa  Ndani ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam[16:09, 6/19/2017] Karama: Washtakiwa hao wanakabiliwa na uhujumu uchumi kwa kula njama  kati ya oktoba 18 ,2011 na Machi 19 , 2014 jiji Dar es Salaam, Afrika Kusini, Kenya na India ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu                      
[16:10, 6/19/2017] Karama: Kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu kati ya Novemba 28/29, 2011 na Januari23,2014 makao makuu Benki ya Stanbic na Benki ya mkombozi tawi St Joseph  kwa ulaghai washtakiwa hao wote wawili walijipatia USD 22,198,544.60 na Tsh 309, 461,358.27.     Katika shtaka la kusababisha hasara  washtakiwa hao wanadaiwackuwa  kati ya Novemba 29, 2013 katika Benki ya Stanbic tawi la  kati kinondoni kwa vitendo vyao waliisababishia Serikali hasara ya USD 22, 198, 544.60 na Tsh 309,461,158.27
 Mmiliki wa VIP Engineering and Marketing, James Rugemalila na Mmiliki wa Kampuni ya IPTL, Harbinder Seth Sigh  wakipandishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi kisutu jijini Dar es Salaam
Mmiliki wa VIP Engineering and Marketing, James Rugemalila na Mmiliki wa Kampuni ya IPTL, Harbinder Seth Sigh  wakipandishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi kisutu jijini Dar es Salaam wakitoka katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mara baada ya kukosa dhamana na kutakiwa kupelekwa mahabusu.


  Mmiliki wa VIP Engineering and Marketing, James Rugemalila na Mmiliki wa Kampuni ya IPTL, Harbinder Seth Sigh wakipakiwa kwenye gari kwa ajili ya kupelekwa Rumande mara baada ya kukosa Dhamana kutokana na Makosa yanayo wakabili
   Mmiliki wa VIP Engineering and Marketing, James Rugemalila na Mmiliki wa Kampuni ya IPTL, Harbinder Seth Sigh wakipakiwa kwenye gari kwa ajili ya kupelekwa Rumande mara baada ya kukosa Dhamana kutokana na Makosa yanayo wakabili

   Mmiliki wa VIP Engineering and Marketing, James Rugemalila na Mmiliki wa Kampuni ya IPTL, Harbinder Seth Sigh wakipakiwa kwenye gari kwa ajili ya kupelekwa Rumande mara baada ya kukosa Dhamana kutokana na Makosa yanayo wakabiliNo comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad