Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Zitto Kabwe leo amempongeza Rais Dkt. John Pombe Magufuli kufuatia tukio la kupandishwa Kizimbani kwa watuhumiwa wa IPTL na ESCROW, ametoa pongezi hizo kupitia Ukurasa wake wa Twitter kama inavyoonekana hapo chini.
Monday, June 19, 2017

ZITTO KABWE AYAANDIKA HAYA JUU KIBOPA WA IPTL
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment