HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Friday, 9 June 2017

RAUNDI YA PILI YA SPRITE BBALL KINGS KUENDELEA TENA KESHONa Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.

Ni Sprite Bball kings 2017mechi nne 
za mtoano wikiendi hii 

 katika viwanja vya Airwing Ukonga Dar es salaam kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 12 jioni kuzipata timu nne zitakazoingia nane bora.


Mratibu wa Mashindano hayo Basilisa Biseko amesema kuwa  kutakuwa na mechi nne zitakazochezwa kesho kuanzia saa 2 asubuhi na mechi zingine zitakuwa wikiendi ijayo ili kuzipata timu zingine zitakazoingia katika hatua ya nane bora.

Wikiendi iliyopita, mashindano hayo yalianza kwa timu 52 kuumana katika viwanja vya JMK Park na kupatikana kwa timu 18 ikiwa ni hatua ya pili.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad