HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Thursday, 29 June 2017

CRDB PLC YATUNUKIWA TUZO YA BENKI KINARA WA UBUNIFU AFRIKA MASHARIKI

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB PLC, Dkt. Charles Kimei akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya tuzo ya Benki kinara wa ubunifu Afrika Mashariki “East African Most Innovative Bank of the year” ambayo Benki hiyo imepewa na jarida la utafiti wa biashara la The Business Year hivi, Katika mkutano uliofanyika Makao Makuu ya Benki hiyo, Azikiwe Jijini Dar es salaam Juni 29, 2017.
Baadhi ya Tuzo walizopata Benki ya CRDB.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad