HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Friday, 19 May 2017

RC GAMBO AFUNGUA SEMINA YA BODI YA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII, JIJINI ARUSHA LEO

 Mgeni Rasmi katika ufunguzi wa Semina ya Bodi ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo akilakiwa na Spika Mstaafu wa Bunge la Tanzania na Mwenyekiti wa Bodi Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Anne Makind, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Masha Mshomba, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mkuu Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Bernard Konga wakati alipowasili tayari wa ufunguzi wa Semija hiyo, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Gold Crest, Jijini Arusha leo Mei 19, 2017. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Nchini (TSSA), Meshack Bandawe.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo akizungumza wakati akifungua Semina ya Bodi ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, iliyoandaliwa na Jumuiya ya Umoja wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Nchini (TSSA), iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Gold Crest, Jijini Arusha leo Mei 19, 2017.

Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Nchini (TSSA), akizungumza kabla ya kumkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo kufungua semina hiyo, itakayowajengea uwezo Wajumbe wa Bodi ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, kuhusu sekta ya Viwanda kuwa kama fursa ya Uwekezaji, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Gold Crest, Jijini Arusha leo Mei 19, 2017.

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Nchini (TSSA), Meshack Bandawe akizungumza machache wakati akitoa muongozo wa Semina hiyo, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Gold Crest, Jijini Arusha leo Mei 19, 2017.
Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Hifadha ya Jamii Zanzibar, Dkt. Suleiman Rashid Mohammed akitoa neno la shukrani kwa niaba ya washiriki wenzake wa semina hiyo.
Spika Mstaafu wa Bunge la Tanzania na Mwenyekiti wa Bodi Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Anne Makinda akiwa katika Semina hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad