HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Friday, 19 May 2017

BENKI YA CRDB YATWAA TUZO MBILI ZA AFRIKA MASHARIKI


Timu ya Wafanyakazi wa Benki ya CRDB ikiongozwa na Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki hiyo, Tully Mwambapa (wa pili kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na Baadhi ya Waandaaji wa Tuzo za Benki Afrika Mashariki, wakati wa hafla ya kukabidhi Tuzo hizo, iliyofanyika Jijini Nairobi, Kenya hivi karibuni. Benki ya CRDB imenyakua Tuzo mbili ambano ni ile ya Benki Bora Tanzania kwenye huduma za Wateja wadogo na wakati na nyingine ni ile ya Kuwajali Wateja katika huduma za kijamii.
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa akionyesha tuzo hizo walizojishindia.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad